Usafi wa Nyumba
Usafi wa sakafu, vumbi, madirisha, jiko na vyoo.
- Chumba kimoja TSh 30,000kwa nyumba
- Nyumba ya vyumba 2 TSh 50,000kwa nyumba
- Nyumba ya vyumba 3 TSh 80,000kwa nyumba
- Nyumba ya vyumba 4 na zaidi TSh 120,000kwa nyumba
Kahama, jirani na Kapaya
Nyumba, ofisi, sofa, carpet na laundry. Omba kwa dakika moja, bila kujisajili.
Ombi la haraka
Jaza taarifa 3 tu. Tunakuja kuchukua nguo, tunazihesabu ofisini, kisha tunakutumia bei kwa SMS.
Huduma na bei
Usafi wa sakafu, vumbi, madirisha, jiko na vyoo.
Usafi wa ofisi zenye samani: sakafu, vumbi, madirisha na vyoo.
Tunasafisha sofa na carpet, zinarudi safi na zenye harufu nzuri.
Tunafua, kunyoosha na kukunja nguo zako kwa umakini.
Lipa mara moja, leta nguo kidogo kidogo. Salio lako linabaki hadi umalize.
Ulileta nguo pungufu? Salio linabaki kwenye kifurushi chako, utaleta tena. Angalia salio
Huduma kubwa; bei inapangwa baada ya kukagua eneo.
Bei za usafi wa nyumba na ofisi ni za kuanzia; bei kamili inathibitishwa baada ya kuona ukubwa wa kazi.
Omba huduma
Jinsi tunavyofanya kazi
Ombi la haraka au chagua huduma. Bila akaunti, kwa dakika moja.
Tunakupigia au kukutumia SMS yenye bei na siku.
Unapata SMS nguo zikipokelewa, zikiwa tayari na zikikabidhiwa.
Ingiza namba ya ombi na simu yako kuona hali yake.