Kahama, jirani na Kapaya

Usafi ni kazi yetu.
Wewe pumzika.

Nyumba, ofisi, sofa, carpet na laundry. Omba kwa dakika moja, bila kujisajili.

  • Delivery: go & return
  • SMS nguo zikiwa tayari
  • Bila akaunti
Timu ya Ibwe ikisafisha nyumba Huduma ya kufua nguo

Ombi la haraka

Tuchukue nguo zako.

Jaza taarifa 3 tu. Tunakuja kuchukua nguo, tunazihesabu ofisini, kisha tunakutumia bei kwa SMS.

Huduma na bei

Kila kitu safi, kwa bei wazi.

Usafi wa Nyumba

Usafi wa sakafu, vumbi, madirisha, jiko na vyoo.

  • Chumba kimoja TSh 30,000kwa nyumba
  • Nyumba ya vyumba 2 TSh 50,000kwa nyumba
  • Nyumba ya vyumba 3 TSh 80,000kwa nyumba
  • Nyumba ya vyumba 4 na zaidi TSh 120,000kwa nyumba

Usafi wa Ofisi

Usafi wa ofisi zenye samani: sakafu, vumbi, madirisha na vyoo.

  • Ofisi ya chumba kimoja chenye samani TSh 60,000 – 100,000kwa ofisi
  • Ofisi ya vyumba viwili vyenye samani TSh 120,000 – 200,000kwa ofisi

Usafi wa Sofa & Carpet

Tunasafisha sofa na carpet, zinarudi safi na zenye harufu nzuri.

  • Usafi wa Sofa TSh 15,000kwa siti
  • Usafi wa CarpetBei inategemea ukubwa wa carpet. TSh 10,000 – 50,000kwa carpet

Laundry & Dry Cleaning

Tunafua, kunyoosha na kukunja nguo zako kwa umakini.

  • Shati / Blauzi TSh 500kwa kipande
  • Suruali / Sketi TSh 1,000kwa kipande
  • T-shirt TSh 500kwa kipande
  • Kanzu TSh 1,000kwa kipande
  • Shuka TSh 1,000kwa kipande
  • Duvet TSh 5,000kwa kipande
  • Suti TSh 10,000kwa kipande

Vifurushi vya Kufua

Lipa mara moja, leta nguo kidogo kidogo. Salio lako linabaki hadi umalize.

  • Single Pack (Mtu 1)Shati 5, Suruali 3, T-shirt 3, Shuka 1 TSh 7,000kwa kifurushi
  • Couple Pack (Watu 2)Shati 10, Suruali 6, T-shirt 6, Shuka 2 TSh 14,000kwa kifurushi
  • Family PackShati 15, Suruali 10, T-shirt 10, Shuka 4, Duvet 1 TSh 27,000kwa kifurushi

Ulileta nguo pungufu? Salio linabaki kwenye kifurushi chako, utaleta tena. Angalia salio

Huduma Maalum

Huduma kubwa; bei inapangwa baada ya kukagua eneo.

  • Pazia, Zulia na Magodoro Bei baada ya ukaguzi
  • Deep Cleaning Bei baada ya ukaguzi
  • Post-Construction CleaningUsafi baada ya ujenzi: vumbi, saruji, rangi na takataka. Bei baada ya ukaguzi

Bei za usafi wa nyumba na ofisi ni za kuanzia; bei kamili inathibitishwa baada ya kuona ukubwa wa kazi.

Ofa kwa wateja wa kudumu Baada ya huduma 5, unapata punguzo la 10% kwenye kila bili inayofuata.

Omba huduma

Chagua huduma, uone bei.

Usafi wa Nyumba
Chumba kimoja TSh 30,000 kwa nyumba
Nyumba ya vyumba 2 TSh 50,000 kwa nyumba
Nyumba ya vyumba 3 TSh 80,000 kwa nyumba
Nyumba ya vyumba 4 na zaidi TSh 120,000 kwa nyumba
Usafi wa Ofisi
Ofisi ya chumba kimoja chenye samani TSh 60,000 – 100,000 kwa ofisi
Ofisi ya vyumba viwili vyenye samani TSh 120,000 – 200,000 kwa ofisi
Usafi wa Sofa & Carpet
Usafi wa Sofa TSh 15,000 kwa siti
Usafi wa Carpet TSh 10,000 – 50,000 kwa carpet
Laundry & Dry Cleaning
Shati / Blauzi TSh 500 kwa kipande
Suruali / Sketi TSh 1,000 kwa kipande
T-shirt TSh 500 kwa kipande
Kanzu TSh 1,000 kwa kipande
Shuka TSh 1,000 kwa kipande
Duvet TSh 5,000 kwa kipande
Suti TSh 10,000 kwa kipande
Vifurushi vya Kufua
Single Pack (Mtu 1) TSh 7,000 kwa kifurushi
Couple Pack (Watu 2) TSh 14,000 kwa kifurushi
Family Pack TSh 27,000 kwa kifurushi
Huduma Maalum
Pazia, Zulia na Magodoro Bei baada ya ukaguzi
Deep Cleaning Bei baada ya ukaguzi
Post-Construction Cleaning Bei baada ya ukaguzi

Jinsi tunavyofanya kazi

Hatua 3 tu.

  1. 1

    Omba

    Ombi la haraka au chagua huduma. Bila akaunti, kwa dakika moja.

  2. 2

    Tunathibitisha

    Tunakupigia au kukutumia SMS yenye bei na siku.

  3. 3

    Tunasafisha

    Unapata SMS nguo zikipokelewa, zikiwa tayari na zikikabidhiwa.

Umeshatuma ombi?

Ingiza namba ya ombi na simu yako kuona hali yake.